Kiukweli ujenzi kama ujenzi ni experience/exposure kubwa sana.
Unajifunza na kukosea mengi, hasa zaidi zile stress za ujenzi, kupishana mawazo na mafundi, kufanya research za materials sokoni, kwenda site mara kwa mara, kiukweli ile hali japo inaumiza lkn ni nzuri sana, focus inayokuwepo ni ya kiwango cha dunia, akili inakuwa ipo active muda wote.
Je, na wewe ilikuwa hivi au kwako ilikuwa mtelezo tu?