Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Nyumba nyingi za Ulaya na Marekani hujengwa kwa mtindo huu, na wakishafunika juu yake kwa makaratasi na maplastic inaonekana bomba sana kumbe ni mbao tu na hata sakafu imesakafishwa kwa mbao.
Ujenzi huu wa gharama nafuu je, unafaa Tanzania kutokana na gharama kubwa za saruji, mchanga na mengineyo?