Ujenzi Ofisi za CCM Kata ya Igunga

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
πŸ“ Igunga, Tabora

Video/clip

Muonekano wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Igunga zinajozengwa kwa mashirikiano ya Mbunge Mhe. Nicholaus George Ngassa na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Ahadi ya Mbunge kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ni kuhakikisha Kata Kumi na Sita za Jimbo la Igunga zinapata Ofisi za kisasa.

#KAZINAMAENDELEO
KAZIIENDELEE
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2023-07-09 at 10.56.41.mp4
    20.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…