UJENZI: Tazama picha rangi mbalimbali za kupaka nje ya nyumba yako

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Katika uchaguzi wa Rangi ya nje ya nyumba jambo muhimu ni kuchagua rangi zinazomech vzuri na paa/bati lako ili kupata muonekano maridhawa.Kama inavyoonekana pichani hizo ni baadhi ya rangi zinazofanya vizuri miaka ya sasa…Rangi nyeupe ni kimbilio la wengi na huwa haina ubaguzi na rangi ya paa iwe vyovyote vile. Twende pamoja











Siku zote nyumba waga ni finishing unaweza ukajenga nyumba nzuri lakini ukashindwa finishing na nyumba yako kukosa mvuto kabisa natumai msomaji umeweza kupata rangi iliyokupendeza karibu tena katika makala nyingine za ujenzi.
 
Ysm Bwoy Civil Building Arts tupo kwa kazi hiyo Wala usipate tabu.Mawasiliani : 0672574026 au 0765920084.Dar-es-Salaam.
mkuu, je wall plaster/sealer inaweza kutumika kama mbadala wa white cement au gypsum powder? katika ku skimm ukuta
 
Kupiga rangi kwa ndoo moja ya lita 20 ni shiling ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…