Unamaanisha ukubwa wa futi 50 kwa 150 sawa na mita 15 kwa 45 naweza kukosa pakuchimba septic tank?Kuna mtu alimaliza kujenga nyumba ndiyo anagundua hana sehemu ya kuchimba septic tanks.
hahahahaMada zako saiv zmekua co constructive zimekua kama za watoto