Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Pongezi Serikali Ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli Kwa Kutoa Tsh Bilioni 9 kugharamia Ujenzi huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitanoSerikali tiyari imeanza kupokea maombi kwa wanaohitaji kupangisha ama kununua
Hamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi[emoji3]wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitano
baada ya miaka mitano wataanza kulipa kodiHamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi[emoji3]