Ujenzi Unakamilika Magomeni Kota

Kuna watu wanaomba tetemeko la ardhi lipite na nyumba zote zibomoke, eneo liwe tambalale. Ili warudie au waendelee na ile hoja yao kwamba serikali hii haijafanya chochote.
 
Serikali inawajibika.
Ila wasitumie nguvu nyingi kuwakamua mapesa wananchi wake ili tu hayo majengo yakamilike.
 
Serikali tiyari imeanza kupokea maombi kwa wanaohitaji kupangisha ama kununua
 
wanarudi walewale waliotolewa hapo familia 644 watakaabure miaka mitano
Hamna cha bure ile ni biashara mkuu. serikali imeweka pesa zake pale inatakiwa irudi[emoji3]
 
Pazuri. Wanyonge mjiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…