Ujenzi vyumba viwili

Wakuu habari

Msaada mchanganuo wa Nyumba vyumba viwili sebure,jiko na store
Makadilio vifaa mpaka level ya bati itanigalimu shiling ngapi
Location Mbeya mjini
Nyumba haijengwi anuani hivyo gharama huendana na mazingira. Nenda hapo chuo cha Sayansi MUST. Chukua mwanafunzi wa mwaka wa tatu CIVIL, mpeleke kwenye kiwanja chako. Mpe matarajio ya nyumba yako. Ndani ya siku tatu atakupatia ramani na BOQ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…