Baada ya kusuasua kwa muda mrefu sasa barabara hiyo inaenda kwa kasi kubwa chini ya Mkandarasi mpya Kings Builders.
Wananchi wanaridhika kwa kasi ya ujenzi unaoendelea kwa sasa.
Pongezi wa waziri wa Ujenzi pamoja na uongozi wa Tanroad Mkoa wa Pwani.
Barabara hii ni muhimu sana kwani ndio kiunganishi cha wilaya ya Bagamoyo na vitongoji vyake lakini pia maeneo ya Bunju, Tegeta n.k.
Endapo barabara hii itakamilika basi wananchi watawahi kufika hospotali ya Muhimbili Mloganzila.
Ahsante Rais wetu Dr. Samia.
Kazi iendelee.