Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwani ukipongeza ujenzi huo utapungukiwa na nini? 😂😂, acha roho ya kichawi basiUmejuaje kama kuna nidhamu ya matumizi ya pesa wakati hamtaki kukaguliwa?
Pesa za Covid mmegoma kueleza mmezitumia vipi,sembuse hizi nyingine!
Kuna ufisadi upo tu sema awamu hii cover up ni kubwa!
Poor design utazqn tupo karne ya 18 ...21 C , li barabara kama lile lina kuwa na overpass na ring roads za kutoshaAliyefanya designya hii barabara ya njia nane mungu anamuona.
Bado kuna wasioona, ingawa wanapita kwenye hizo barabara...Barabara Muhimu ya kimkakati
Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu
Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi
Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na Mzalendo Nambari 1 Dkt John Pombe Magufuli
Libarabara ni mwendo wa roundabout tu, halivutii japo tutateleza!Bado kuna wasioona,ingawa wanapita kwenye hizo barabara...
Kwa hili nampongeza MagufuliBarabara Muhimu ya kimkakati
Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu
Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi
Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na Mzalendo Nambari 1 Dkt John Pombe Magufuli
Kwa hili nampongeza Magufuli
Naondoa shilling kwa consultant waliofanya design walikosea sana mambo mengi wataalamu wa design na ujenzi tukipita kuna makosa mengi ni poor design.
Mzeebaba siku hizi sikuelewi elewi....umetoka kundini au umeondoshwa kundini?😅Hyo barabara inaanzia wapi inaishia wapi
picha ziko wapi?Barabara Muhimu ya kimkakati
Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu
Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi
Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na Mzalendo Nambari 1 Dkt John Pombe Magufuli
Mzeebaba siku hizi sikuelewi elewi....umetoka kundini au umeondoshwa kundini?[emoji28]
Ulitaka wakupe wewe. Kutesa kwa zamu. Kuwadi wa EU!Hapo kwenye nidhamu, sijui umetumia vigezo gani kuhalalisha hiyo nidhamu. Nchi hii watu wanapiga tena zile grand, kuanzia chamwino ni mwendo wa kupiga tu. Waulize EU.