Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Mamlaka inayo simamia ujenzi wa barabara hiyo inayo unganisha mji wa Mombasa na Nairobi imesema kuwa ujenzi rasmi utaanza baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu wa muundo wake pamoja na kupatikana mkandarasi atakaye fanya kazi hiyo.
Kauli hii inakuja muda mfupi baada ya kuzuka kwa tetesi kuwa mkandarasi wa kwanza mwenye asili ya Marekani amebadilishwa na tenda hiyo kupewa kampuni nyingine kutoka Korea.
Ujenzi wa barabara hiyo yenye kilomita 473 utachukua kipindi cha miezi 60 (miaka 5) hadi kukamilika kwake.
CITIZEN