UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KATA YA BIHARAMULO MJINI.
Kuna kazi ya kasi bado inaendelea kutekelezwa jimboni biharamulo kata ya biharamulo mjini kuakikisha barabara zote za mjini zinajengwa kwa kiwango cha lami tangu mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa awe mbunge wetu .
Barabara hii ni mfano katika barabara zilizojengwa hapa biharamulo mjini pekee.
Ushirikiano wa mbunge, halmashauri ya wilaya, mkuu wa wilaya na Diwani wa kata ya biharamulo mjini kumefanya kazi ya ujenzi wa barabara hizi ufanyike kwa haraka na ubora unaotakiwa .
Acha lopolopo hapa.... Halmashauri ya Biharamulo haina bajeti ya kujenga barabara ya lami za mtaa!!. Huwa mnaona watu wajinga sana? Kwa vyanzo gani vya mapato 😂😂.