FLAMMARION23
Member
- Sep 28, 2017
- 21
- 3
Habari wana Jf,
Nilikuwa nataka nianze ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu jiko sebule na dinning sasa.
Swali langu ni kwa nikipi kina bei nafuu kununua matofari ya kuchoma au kufyatua matofari ya block mwenyewe kwa kujengea.
Mimi nipo Morogoro.