F FLAMMARION23 Member Joined Sep 28, 2017 Posts 21 Reaction score 3 Oct 12, 2017 #1 Habari wana Jf, Nilikuwa nataka nianze ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu jiko sebule na dinning sasa. Swali langu ni kwa nikipi kina bei nafuu kununua matofari ya kuchoma au kufyatua matofari ya block mwenyewe kwa kujengea. Mimi nipo Morogoro.
Habari wana Jf, Nilikuwa nataka nianze ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu jiko sebule na dinning sasa. Swali langu ni kwa nikipi kina bei nafuu kununua matofari ya kuchoma au kufyatua matofari ya block mwenyewe kwa kujengea. Mimi nipo Morogoro.
F FLAMMARION23 Member Joined Sep 28, 2017 Posts 21 Reaction score 3 Oct 12, 2017 Thread starter #2 FLAMMARION23 said: Habalin wana jf nilikuwa nataka nianze ujenzi Wa nyumba ya vyumba vitatu jiko sebule na dinning sasa Swali langu ni kwa nikipi kina bei nafuu kununua matofari ya kuchuma au kufyatua matofari ya block mwenyewe kwa kujengea Mimi nipo morogoro Click to expand... Msaada jamani.
FLAMMARION23 said: Habalin wana jf nilikuwa nataka nianze ujenzi Wa nyumba ya vyumba vitatu jiko sebule na dinning sasa Swali langu ni kwa nikipi kina bei nafuu kununua matofari ya kuchuma au kufyatua matofari ya block mwenyewe kwa kujengea Mimi nipo morogoro Click to expand... Msaada jamani.
Y Young Efe JF-Expert Member Joined Dec 17, 2019 Posts 337 Reaction score 247 Jun 14, 2020 #3 Nunua tofali za kuchoma.
sirajj johnn JF-Expert Member Joined Apr 5, 2017 Posts 1,540 Reaction score 865 Sep 4, 2020 #4 Nakushauri kwa nyumba ya vyumba vitatu tofali za kuchoma elfu 4 na mia tano zinatosha kabisa.