Ujenzi wa bomba la gesi kutoka Tanzania mpaka Kenya utaanza lini?

Ujenzi wa bomba la gesi kutoka Tanzania mpaka Kenya utaanza lini?

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
Tuliambiwa kuwa mwaka huu September ujenzi wa bomba la gas from Tanzania to Kenya utaanza ili tuwauzie hawa wenzetu, walisema itakuwa financed na bank of Tanzania.

Ujenzi huu utaanza lini?
 
Back
Top Bottom