Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,472 Nov 21, 2012 #1 Tuliambiwa kuwa mwaka huu September ujenzi wa bomba la gas from Tanzania to Kenya utaanza ili tuwauzie hawa wenzetu, walisema itakuwa financed na bank of Tanzania. Ujenzi huu utaanza lini?
Tuliambiwa kuwa mwaka huu September ujenzi wa bomba la gas from Tanzania to Kenya utaanza ili tuwauzie hawa wenzetu, walisema itakuwa financed na bank of Tanzania. Ujenzi huu utaanza lini?