simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ujenzi wa bomba la gesi upo palepale. Baada ya kilio cha kusini serikali imechomeka kimya kimya miradi miwili itakayo jengwa Mtwara.
1.LPG plant itakayo gharimu $ 900 milioni.
2. Symbion na Tanesco kujenga 400 mw power plant.
Soma zaidi hapa Mtwara gas project still on course - Business - www.theeastafrican.co.ke