simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 Feb 24, 2013 #1 Ujenzi wa bomba la gesi upo palepale. Baada ya kilio cha kusini serikali imechomeka kimya kimya miradi miwili itakayo jengwa Mtwara. 1.LPG plant itakayo gharimu $ 900 milioni. 2. Symbion na Tanesco kujenga 400 mw power plant. Soma zaidi hapa Mtwara gas project still on course - Business - www.theeastafrican.co.ke
Ujenzi wa bomba la gesi upo palepale. Baada ya kilio cha kusini serikali imechomeka kimya kimya miradi miwili itakayo jengwa Mtwara. 1.LPG plant itakayo gharimu $ 900 milioni. 2. Symbion na Tanesco kujenga 400 mw power plant. Soma zaidi hapa Mtwara gas project still on course - Business - www.theeastafrican.co.ke