Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Unafikiria hii ni sgr yenyu ambayo imekwama porini ama ni hiyo port ya ndoto (Bwagamoyo) muliota mchana?We understand kuwa nothing works in Kena anymore. Chances are hiyo dam haitakamilika.
Ukitaka kujua. Ni dam ngapi zimeliwa Kenya hazikukamilika? Nini kitafanya hiyo ya thwake ikamilike? Hiyo konza city inamajengo mangapi hadi leo? Yanafika matano? Hiyo city imeshameza hela kiasi gani na bado haina ukubwa wa kuitwa village?
Success of projects in Kenya right now is equals to zero. Labda tusubirie BBI kama italeta watu wenye maendeleo ya kweli. Kusifia projects that will fail or cost excessively inatia huruma sana. Nchi ikishakuwa ya kuliwa ovyo by every tom prick and harry haiwezi kwenda mahali. Poleni sana kwa kuwakatisha tamaa.
Hatujakataa ila wewe pia hujui ukisemacho Kaka. Ilo dam litakusanya maji tu ila bado hamjajenga sehemu ya kupurify maji ya bwawa hilo for human consumption.Hii ng'ombe inajaribu kulinganisha dam na tank ya lita milioni kumi. Wewe chizi wa Dar unajua dam ni nini? Kumbe sisi Wakenya tunapoteza muda wetu kudebate na watu wajinga hivi?
Usidhani hatujui hazijapita hata 2 yrs since we ruto akule pesa ya dam mliokuwa mnategemea kujenga. Sasa hivi mnakuja na project ingine na zile uncompleted dams mmeshazilenga. Kenya ni kweli mpo mbele yetu, with an xperiencd from class 4-univ.. I can testify how far you're from us. However, performance yenu iko chini sana saivi. We gon catch up with u soonUnafikiria hii ni sgr yenyu ambayo imekwama porini ama ni hiyo port ya ndoto (Bwagamoyo) muliota mchana?
huu msemo hata babu yako aliutumia, yuko wapi sasa hivi??We gon catch up with u soon
Anza kufunza watoto wako, wajukuu na vituku kwa sababu huo wimbo wa kuishinda Kenya, mtaimba kwa miongo mingi ijayo. Nyerere na mababu zenyu waliimba wimbo huo huo.Usidhani hatujui hazijapita hata 2 yrs since we ruto akule pesa ya dam mliokuwa mnategemea kujenga. Sasa hivi mnakuja na project ingine na zile uncompleted dams mmeshazilenga. Kenya ni kweli mpo mbele yetu, with an xperiencd from class 4-univ.. I can testify how far you're from us. However, performance yenu iko chini sana saivi. We gon catch up with u soon
SGR inaendelea vizuri bila rushwa kama ile ya Kenya. Kwa hiyo gharama zake ni less than half per km compared to Kenya. Tatizo ni kuwa ya Kenya ni ya kishamba au analogue. Inatumia Diesel na kutoa moshi kwa hiyo sio SGR kamili' tunaiita locomotive. Ya kwetu ni electric. Kumbuka pia ni mradi mkubwa kwa sababu inaunganisha the whole of East Africa, ofcourse excluding Kenya.Unafikiria hii ni sgr yenyu ambayo imekwama porini ama ni hiyo port ya ndoto (Bwagamoyo) muliota mchana?
Watanzania na ndoto za mchana! Bandari ya Dar haifiki hata nusu ya Mombasa na unaota eti Tanga itakuwa kubwa kushinda mombasa. Reli imekwama porini miaka tatu sasa, mwenye kandarasi na GOT wakisingizia mamba na mvua! Kweli mumebebwa ujinga.SGR inaendelea vizuri bila rushwa kama ile ya Kenya. Kwa hiyo gharama zake ni less than half per km compared to Kenya. Tatizo ni kuwa ya Kenya ni ya kishamba au analogue. Inatumia Diesel na kutoa moshi kwa hiyo sio SGR kamili' tunaiita locomotive. Ya kwetu ni electric. Kumbuka pia ni mradi mkubwa kwa sababu inaunganisha the whole of East Africa, ofcourse excluding Kenya.
Tanzania ni kubwa kwa hiyo itachukuwa mda, ila ipo on target na usimamizi ni mzuri. Sio kuliwa ovyo ovyo. Tukihitaji kupanda locomotive tutakuja Kenya.
Hivi kwanini SGR ya Kenya haitumii umeme ilhali ili gharimu hela nyingi sana hadi dunia nzima inalalamika? Kuna shida gani mabogi yalikuwa yana safirishwa kwenye malori? Mbona tena tunasikia mnawapokonya wachina mradi wao wa SGR? Mimi nashauri muwache utoto mfanye mambo ya ki utu uzima sio kutapeli watu walio wasaidia. Mkishindwa msione aibu kuomba msaada Tanzania tupo tayari kuwafundisha jinsi ya kusimamia miradi.
Kuhusu bandari la Bagamoyo, inawezekana tunausitisha ili tuboreshe bandari ya Tanga ambayo ni naturally deep. Itakuwa ina uwezo wa kuingia Panamax, Post Panamax, New Panamax (or Neo Panamax) and Ultra Large Container Vessels (ULCV). Hizi haziwezi ku dock Mombasa kwa sababu ni meli kubwa sana. Kwa hiyo Tanga port itakuwa shipping hub ya East Africa kama vile salalah in Oman na mombasa itabaki kuwa tawi la kijijini.
Hivi unataarifa kuwa dunia nzima clearing agents hawataki kutumia bandari ya mombasa sababu ya wizi wa mizigo? It's just a matter of time and mombasa port will collapse. Ndio sababu Rwanda na Uganda wana unga mkono SGR ya Tanzania. Ya kwenu ipo lakini nani anaye itaka? Ata mtoe mashamba bure huko Naivasha hakuna atakaye kuja kwa wezi.Watanzania na ndoto za mchana! Bandari ya Dar haifiki hata nusu ya Mombasa na unaota eti Tanga itakuwa kubwa kushinda mombasa. Reli imekwama porini miaka tatu sasa, mwenye kandarasi na GOT wakisingizia mamba na mvua! Kweli mumebebwa ujinga.
Mombasa port handles more than all ports in Tanzania can handle.Hivi unataarifa kuwa dunia nzima clearing agents hawataki kutumia bandari ya mombasa sababu ya wizi wa mizigo? It's just a matter of time and mombasa port will collapse. Ndio sababu Rwanda na Uganda wana unga mkono SGR ya Tanzania. Ya kwenu ipo lakini nani anaye itaka? Ata mtoe mashamba bure huko Naivasha hakuna atakaye kuja kwa wezi.
Used to my friend. Used to. Endeleeni kuwashawishi Rwanda kwa kuwapa free dry port huko Naivasha. Watakavyo ibiwa mizigo yao watakoma wenyeweMombasa port handles more than all ports in Tanzania can handle.
The last time I checked Dar port was a den of thieves.Used to my friend. Used to. Endeleeni kuwashawishi Rwanda kwa kuwapa free dry port huko Naivasha. Watakavyo ibiwa mizigo yao watakoma wenyewe
Wacheni uongo nyie jamaaThe dam will be a game changer for the semi arid makueni area. It will supply 144 million litres of water daily to Konza City and surrounding towns. The main reason for the dam is water supply but it will also generate about 29 MW of electricity.
If the dam was to be a full fledged hydropower project it would generate about 400 MW of electricity. It is 5 times bigger than Masinga dam and will dwarf the entire seven forks project.
You live in the goose age. Times have changed.The last time I checked Dar port was a den of thieves.
SGR iko 5%But when you posting for your SGR you don't remember that [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuonyeshe strugglers gorge [emoji16]
Angalia hii project ya Nairobi Northern Collector Tunnel Water Project ndo uone vile utaturingia upuzi--Inaonekana tu..linitaweza fanya Mambo makubwa Kama haya..
View attachment 1491581
Ndakaini dam supplies portable water to Nairobi and its environs. The dam has a storage capacity of 70,000,000 m3 at full storage level of 2,041m above sea level, average depth of 65m and a reservoir surface area of 280ha
Assessing the Effects of Drought to Ndakaini Dam in Kenya using Space Technology).
ππππππ Kenya Haina minerals so sielewi inaliwa Nini ukilinganisha na Tz gold,diamonds, tanzanite, gas, arable land,Lakes & Rivers, long coastline, sharing borders with less aggressive countries and you share one language?We understand kuwa nothing works in Kena anymore. Chances are hiyo dam haitakamilika.
Ukitaka kujua. Ni dam ngapi zimeliwa Kenya hazikukamilika? Nini kitafanya hiyo ya thwake ikamilike? Hiyo konza city inamajengo mangapi hadi leo? Yanafika matano? Hiyo city imeshameza hela kiasi gani na bado haina ukubwa wa kuitwa village?
Success of projects in Kenya right now is equals to zero. Labda tusubirie BBI kama italeta watu wenye maendeleo ya kweli. Kusifia projects that will fail or cost excessively inatia huruma sana. Nchi ikishakuwa ya kuliwa ovyo by every tom prick and harry haiwezi kwenda mahali. Poleni sana kwa kuwakatisha tamaa.
Ata Mike Tyson akienda kudundwa na kung'ata Evander Holyfied sikio alikuwa anadhani yeye bado ni world champ.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kenya Haina minerals so sielewi inaliwa Nini ukilinganisha na Tz gold,diamonds, tanzanite, gas, arable land,Lakes & Rivers, long coastline, sharing borders with less aggressive countries and you share one language?
Kenya tumezingirwa na maadui na unstable countries Kama Ethiopia, Somalia and South Sudan.
75% ya Kenya ni jangwa [emoji16] na bado tunaongoza ukanda huu kwa uchumi, miundombinu, michezo, elimu na afya, ukulima wa Hali ya juu, umeme n.k.
Biggest modern City in East and Central Africa ni Nairobi then Mombasa afu Dark est Sluum inafuata [emoji6]
SGR inayofanya kazi ukanda huu ni ya Kenya ikifuatiwa na ile ya Ethiopia [emoji16] ya Tz tuliahidiwa mwaka Jana November 2019 bado tunasubiri [emoji6]
Bandari kubwa zaidi port of Mombasa Mara mbili zaidi ya Dark est Sluum pot [emoji23]
Ushawahi tembelea barabara yenye lanes 12 ndani ya Tanzagiza? [emoji16] Karibu Kenya.
Port of Bwagamoyo vs port of Lamu...gani tembo mweupe [emoji6]
Tuendelee ama tusiendelee?
Maji yake inacolect kutoka wapi?The dam will be a game changer for the semi arid makueni area. It will supply 144 million litres of water daily to Konza City and surrounding towns. The main reason for the dam is water supply but it will also generate about 29 MW of electricity.
If the dam was to be a full fledged hydropower project it would generate about 400 MW of electricity. It is 5 times bigger than Masinga dam and will dwarf the entire seven forks project.