Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA.
Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi akingia mitini? CCM mpya, CCM mpya.
Yule Waziri wa CCM aliyesema tutaacha kununua mitumba na kuvaa vitu brand new OG kabisa kabisa imeishia wapi? Karibuni Juice ya tende.