Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Saidia Fundi wote wakaingia mitinimkandarasi ali abscond
Ujenzi umesimamia tofali zimeishia tofali nne kuelekea usawa wa madirisha,wameshtuka mkandarasi kachakachua tofali, wanajadili wabomoe waanze upya na tofali imara, au wafanyeje? Kwani Wana kijani wao wanasemaje?Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafuoi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA. Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi akingia mitini? CCM mpya, CCM mpya.....
Yule Waziri wa CCM aliyesema tutaacha kununua mitumba na kuvaa vitu brand new OG kabisa kabisa imeishia wapi? Karibuni Juice ya tende
Hahahha yule tumeamua hatutamtoa, tunataka POLISI hasa IGP aliyesema ana ushahidi AENDE Mahakamani akaeleze huo ushahidi, this time tutazaaa na POLISI, lazima tuwabebeshe mzigo ili next time wasiwe na akili za CCMMkuu pambana umtoe mbowe kwenye ugaidi achana na mambo ya ccm
Mkuu pambana umtoe mbowe kwenye ugaidi achana na mambo ya ccm
Kwani wakati wa kubambikia na nyie mlienda front au mlikaa nyuma ya keyboard.Watu wanafanya siasa za online twita na jf hawawezi mpambania mbowe
Wao wanasikilizia tuu vitu kitokee huko wao waje wasuport nyuma ya keyboard
HahahahhaaaKwani wakati wa kubambikia na nyie mlienda front au mlikaa nyuma ya keyboard.
Kwani wakati wa kubambikia na nyie mlienda front au mlikaa nyuma ya keyboard.
Mikwara yenu utafikiri watu kweliHahahha yule tumeamua hatutamtoa, tunataka POLISI hasa IGP aliyesema ana ushahidi AENDE Mahakamani akaeleze huo ushahidi, this time tutazaaa na POLISI, lazima tuwabebeshe mzigo ili next time wasiwe na akili za CCM
Ukiwaona wanavyopiga mikwara huku jf na twitter utafikiri ni watu kweli kumbe bure tuWatu wanafanya siasa za online twita na jf hawawezi mpambania mbowe
Wao wanasikilizia tuu vitu kitokee huko wao waje wasuport nyuma ya keyboard
πππππMikwara yenu utafikiri watu kweli
Ukiwaona wanavyopiga mikwara huku jf na twitter utafikiri ni watu kweli kumbe bure tu
Waligawana mbao na vifaa vingine vya ujenzi [emoji23]Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafuoi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA. Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi akingia mitini? CCM mpya, CCM mpya.....
Yule Waziri wa CCM aliyesema tutaacha kununua mitumba na kuvaa vitu brand new OG kabisa kabisa imeishia wapi? Karibuni Juice ya tende
[emoji23][emoji23][emoji23]Nlicheka sana walivyotawanyika kama sisimizi baada ya polisi kuingia katikati yaoPale kisutu juzi walikua watano tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]