Ujenzi wa CCM Mpya Ullisha au mliishiwa Vifaa vya Ujenzi?

[emoji23][emoji23][emoji23]Nlicheka sana walivyotawanyika kama sisimizi baada ya polisi kuingia katikati yao
Kumbe waliingia Polisi nikajua wameingia CCM. msijifiche nyuma ya Polisi, njooni muone vile tutawafanya
 
Toka lini kitu kizee kikaweza kua kipya?.Hilo kundi ni nzee lisiloweza kutafuna chochote linasubiri tu vyombo vya serikali vitafune lenyewe limeze tu.Hizo nyingine ni mbwembwe tu ambazo kamwe haziwezi kuwarudishia ujana wao..watasukuma sukuma tu siku lakini kifo ni hakika."MZEE HAKUI WALA HAZEEKI"
 
Kumbe waliingia Polisi nikajua wameingia CCM. msijifiche nyuma ya Polisi, njooni muone vile tutawafanya
Ccm haiwezi kudeal na magaidi! Hiyo ni kazi ya polisi mkuu
 
Ujenzi gani ule mafundi walikuwa wanaenda kazini na mitutu na virungu badala ya vifaa vya ujenzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…