The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kupitia mapato yake ya ndani inaenda kukamilisha ujenzi wa kivuko cha Kaveso kilichopo Mtaa wa Amani. Kivuko hicho ni kiungo muhimu Kati ya kata ya Kimanga na Liwiti katika kuboresha usafiri na kirahisisha Maisha ya wakazi wa maeneo hayo.
Wananchi wa eneo hilo wameeleza kuwa changamoto ya kukosekana kwa daraja katika eneo hilo imekuwa ni ya muda mrefu hivyo kukamilika kwa mradi huo utasaidia kuimarisha usalama wa watumiaji wa daraja hilo pamoja na kuchochea shughuli za kiuchumi hasa usafirishaji.