TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,030 Nov 17, 2018 #21 madindigwa said: Utakua wa mkoani tu hujui adha tunayo ipata watu wa dat Click to expand... Najua hukai huko ila umejitoa akili,hv shida ya usafiri kwenda mbagala na gomz ni sawa na huko ushuani ambapo daladala zinahesabika?
madindigwa said: Utakua wa mkoani tu hujui adha tunayo ipata watu wa dat Click to expand... Najua hukai huko ila umejitoa akili,hv shida ya usafiri kwenda mbagala na gomz ni sawa na huko ushuani ambapo daladala zinahesabika?
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 24, 2018 #22 TOHATO said: Alafu naskia ni kwa hela zetu za ndani. Hahahaha kuna watu wanapenda sifa hatari Click to expand... Si nilisikia wa Korea wametoa mkopo wa riba laini?
TOHATO said: Alafu naskia ni kwa hela zetu za ndani. Hahahaha kuna watu wanapenda sifa hatari Click to expand... Si nilisikia wa Korea wametoa mkopo wa riba laini?
simiyu JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 274 Reaction score 153 Apr 24, 2020 #23 Sure Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,041 Reaction score 13,907 Apr 28, 2020 #24 Umefikia wap ujenzi