Ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya Wilaya ya Kinondoni unaendelea Kwa kasi Mabwepande

Ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya Wilaya ya Kinondoni unaendelea Kwa kasi Mabwepande

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Picha inajieleza vema kabisa

Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika.

Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya.

Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi.


FB_IMG_16127120100403423.jpg
 
Picha inajieleza vema kabisa

Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika

Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya

Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi
Utadhan mabweni ya wanafunzi
 
Kwani si tumekubaliana tunarudi kwenye tiba asili ama?

Hayo mabilioni yangeelekezwa kwenye tafiti za tiba asili tuu!
Ni kweli kwenye utawala wa saccos tutaona matumizi sahihi kama wanavyo fanya kwenye saccos
 
Back
Top Bottom