Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Utadhan mabweni ya wanafunziPicha inajieleza vema kabisa
Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika
Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya
Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi
Shida ya kuishi kwa shemeji,iko siku utamsaidia dadaPicha inajieleza vema kabisa
Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika.
Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya.
Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi.
View attachment 1696850
Ni kweli kwenye utawala wa saccos tutaona matumizi sahihi kama wanavyo fanya kwenye saccosKwani si tumekubaliana tunarudi kwenye tiba asili ama?
Hayo mabilioni yangeelekezwa kwenye tafiti za tiba asili tuu!
Wodi ya kujifukiza iko upande gani ?Picha inajieleza vema kabisa
Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika.
Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya.
Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi.
View attachment 1696850
Ufipa.Wodi ya kujifukiza iko upande gani ?