Ni muda sasa naona kama hakuna maendeleo yoyote ya maana katika ukamilishaji wa ujenzi wa jengo zuri la abiria pale Mwanza airport.
Soma Pia: Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni 200
Bado kana endelea kutumika kale kajengo kadogo ka tangu enzi za mjerumani ambako ni kafinyu sana sana na kenye kero kibao.Yaani mkiwa mnasubiri mizigo au kuondoka mnapumuliana wenyewe kwa wenyewe.