Ujenzi wa Jengo la Abiria Mwanza Airport limefarakana na Serikali?

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Ni muda sasa naona kama hakuna maendeleo yoyote ya maana katika ukamilishaji wa ujenzi wa jengo zuri la abiria pale Mwanza airport.

Soma Pia: Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni 200

Bado kana endelea kutumika kale kajengo kadogo ka tangu enzi za mjerumani ambako ni kafinyu sana sana na kenye kero kibao.Yaani mkiwa mnasubiri mizigo au kuondoka mnapumuliana wenyewe kwa wenyewe.
 
Magufuli amewafitinisha
 
Huu uwanja una mkosi gani. kajengo kenyewe kadogo hata hakazidi stendi ya Nyamhongoro lakin kuisha shida sijui kuna nini ROSTAM tusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…