Ujenzi wa kiwanda cha korosho kuanza Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya ya viwanda, tunawakaribisha majirani wawe wanaleta korosho zao huku....

The construction of cashew nut processing factory in Kakanjuni, Kilifi, is expected to begin in October.
The factory with a capacity to process 10,000 metric tonnes of nuts per year is part of the Sh240 million cashew nuts and sesame value-addition project that the European Union is funding under the Visegrad Group, which comprises Slovakia, Hungary, Poland and the Czech Republic.
The project implemented by Ten Senses Fair Company targets to grow about one million cashew nut trees per year in Kilifi, Lamu and Kwale for processing at the factory.
Kilifi Governor Amason Kingi said prolonged drought in the region is one the biggest challenge affecting the project since locals depend on rain to grow the crop.
Speaking after meeting the Slovak Ambassador to Kenya František Dlhopolek, he said the county has distributed more than 200,000 free cashew nut seedlings to farmers. “The county government in collaboration with Ten Senses Fair Company also offers extension services,” he said.

 
Mmmmmh mahaba mengine yanachomoa na akili?

Tani 10k kwa mwaka wamalize tani 400k kwa mwaka? Kivipi?
Mahaba gani unayozungumzia? Au unadhani mimi ni wale wa Tz VS Ke hata kwa mambo yasiyo na maana...
 
Mahaba gani unayozungumzia? Au unadhani mimi ni wale wa Tz VS Ke hata kwa mambo yasiyo na maana...
Mambo yasomana ni pamoja na kulazimisha korosho tani zaidi ya 400k zikabanguliwe kwenye kiwanda chenye uwezo wa tani 10k.
 
Mambo yasomana ni pamoja na kulazimisha korosho tani zaidi ya 400k zikabanguliwe kwenye kiwanda chenye uwezo wa tani 10k.
Huo ni mtazamo wako na siyo lazima tufanane. Wewe ni nani hadi unipangie cha kuandika...
 
Ahaaa haaa haaa
Jengeni tuuu. Hata mkitaka kujenga kiwanda cha mvua ni nyie tu.
 
See how this Savage hordes attack their own for having a different opinion.
 
Koroshow ya Tanzania ni first quality tunauza huko kwa mabeberu kama nyie mnavyo uza miraa ya meru.
Mmmmmh mahaba mengine yanachomoa na akili?

Tani 10k kwa mwaka wamalize tani 400k kwa mwaka? Kivipi?
Hizi ni juhudi za serikali tu, kuna viwanda vingine
vingi vya kibinafsi. Kenya Nut wana viwanda zaidi ya vinne, kuna Eureka Nut pia. Mwaka wa 2009 serikali ya Kenya ilipiga marufuku export ya korosho 'raw', zile 'unprocessed' kutoka Kenya, baada ya hapo vilianza kujengwa. Viwanda vya Kenya vinachomoa vitu vya export kama hivi.
Proudly Kenyan!
 
Hizo Korosho zenu mtakuwa mnauza Kenya sasa, changamkieni hii fursa Wanabongo..
 
Koroshow ya Tanzania ni first quality tunauza huko kwa mabeberu kama nyie mnavyo uza miraa ya meru.
First quality inavunwa na wanajeshi, wanaibangua, wanaipeleka viwandani, Kisha wanawarudishia wakulima pindi inapo Anza kuota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…