ujenzi wa kiwanja cha ndege kenya karibu na border ya TZ kule tarakea

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Waziri Nundu kasema walituma watu kwenda uliza kenya,wakasema hawana mpango wa kujenga kitu kama icho.
Kuna post umu iliwekwa on the same issue isije ikawa hawa Wakenya wanataka kutuzunguka
Source:bungeni17:55hrs eat leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…