Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Weka pichaWadau naombeni kujua gharama ya kutumia megapanels kujengea ukuta na pamoja na roofing.
Je, ujenzi huu wa kutumia mega panels na ule wa kutumia tofali na bati, upi ni nafuu?. Pia naomba kujua bei ya sheet moja kwa ajili ya ukuta na ya paa pamoja na dimensions zake.
Ahsante nimeshaweka mkuuWeka picha
Ndo maana nikapost humu jukwaani tupate msaada kwa wajuviNyumba nzuri, lakini nashangaa kwanini kiwanda chenyewe kimejengwa kwa tofali za kawaida.
Wangeonyesha process nzima ya ujenzi tangu kuanza hadi kumaliza. Bomba na wiring ya umeme inavyowekwa. Pia waeleze gharama ya nyumba ya inakuwa kiasi gani.
Hizi Nyumba ziko wapi/eneo gani hapa mjini Dar es Salaam? Ni vizuri tukaziona na kuangalia process nzima ya ujenzi wake.Ahsante nimeshaweka mkuu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View: https://youtu.be/iZVbjr_Bg6A?si=dqTd85CaOnLiCbVa