bango
Senior Member
- Apr 12, 2012
- 128
- 33
Ni takribani mwaka sasa tangu rais J.K kutoa agizo juu ya ujenzi wa vyumba vya maabara ktk shule zote za sekondari nchini!!
Wilaya ya Buhigwe - Kigoma ni moja kati ya wilaya chache nchini zilizoshindwa kutekeleza agizo la Rais kwani hadi 7.12.2014 baada ya majumuisho kufanyika, wilaya hii ilijizolea 10% pekee!
Katika shule nyingi wilayani humu, hamna kinachofanyika kwani ndiyo misingi imeanza kuchimbwa huku hakuna dalili za upatikanaji wa mawe, mchanga na tofarii!
Inasemekana wananchi wamegoma kabisa kuchangia mchango wa tsh. 5,000@ huku wakiuliza maswali juu ya fedha za ESCROW!
TUAMBIE, hapo ulipo ujenzi huu unaendelea???????