Ujenzi wa miradi mikubwa Na kesho ya Tanzania.

Ujenzi wa miradi mikubwa Na kesho ya Tanzania.

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
670
Wakuu!
Kila sehemu Tanzania kunakoendelea Na ujenzi mkubwa wa miradi basi utakuta wahusika wakuu wa ujenzi ni kampuni za kigeni. Swali langu kila siku ni kwanini kampuni zetu za ndani haziaminiwi?
Ujenzi huu mzuri hapo chini Kwa clip yangu nao pia ulifanywa Na kampuni ya kigeni ya South Korea Kwa ubora wa hali ya juu. Nadhani tutajivunia sana siku tukizindua miradi mikubwa iliyojengwa Na kampuni za wazawa.
 
Back
Top Bottom