Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
When I look at the picture..I see something really great. Kuna sehemu tumekosea sana kukwama hapa tulipokwama. Wenzetu wakiamua, wanahangaika kutelekeza. Sisi tunaongea zaidi ya kutekeleza![]()
Wajerumani walipanga kuujenga Tanga kama mji wao wa Bonn.
zilikuwa zinaitwa gas light, ila usidhani zinatumia gesi zilikuwa zinatumia mafuta ya taa. yani kiufupi zilikuwa ni chemli,1917 taa za barabarani zinawaka!!!
Huo mpango wa kuijenga tanga kama bonn uliishia wapi?![]()
Wajerumani walipanga kuujenga Tanga kama mji wao wa Bonn.
After second world war....before kutimuliwa walikua wapi wasiujenge hata robo?Si walitimuliwa na Waingereza mkuu
It was after WWI 2019After second world war....before kutimuliwa walikua wapi wasiujenge hata robo?
Sent using Jamii Forums mobile app