Ujenzi wa mji wa Tanga 1917



Wajerumani walipanga kuujenga Tanga kama mji wao wa Bonn.
When I look at the picture..I see something really great. Kuna sehemu tumekosea sana kukwama hapa tulipokwama. Wenzetu wakiamua, wanahangaika kutelekeza. Sisi tunaongea zaidi ya kutekeleza
 
Tanga kuzuri sana kumepangika, barabara za mtaani saaaf, wanawake watanga wanafahamu mapishi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…