Ujenzi wa muda mfupi zaidi!

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Je? Umeshawahi kujenga nyumba kwa muda mfupi zaidi na kuhamia? Je, ilikuwa kwa muda gani?

Njoo share uzoefu wako please! Mimi binafsi sijawahi hata kujenga choo!
 
Inategemea ujenz wa aina gan na umejipanga vip kuna kujenga kitajir na kuna kujenga kama kina sisi kwa hali ya chini zaid na ukahamia hata haijaisha vizur kuepuka kero za kodi na vyumba vingap na ni wap kila eneo na ujenz wake rahis
 
Je? Umeshawahi kujenga nyumba kwa muda mfupi zaidi na kuhamia?,je ilikuwa kwa muda gani?
Njoo share uzoefu wako please!,mimi binafsi sijawahi hata kujenga choo!
Wiki mbili
 
Inategemea ujenz wa aina gan na umejipanga vip kuna kujenga kitajir na kuna kujenga kama kina sisi kwa hali ya chini zaid na ukahamia hata haijaisha vizur kuepuka kero za kodi na vyumba vingap na ni wap kila eneo na ujenz wake rahis

Kwahiyo ilikuchukua muda gani hadi kuhamia mkuu?
 
Mi yangu nlijenga 1 week yaan siku 7 ikawa imeisha. Hadi kupaua siku ya 8 na 9 kuweka madirisha na lipu na frem za milango. Siku ya 10 na 11 froor tiles siku ya 12 na 14 gypsum wavu wa dirisha. Nikaacha siku3 ya 4 nikahamia
 
Uliijengea chini kwa muda gani! Yaani installment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi yangu nlijenga 1 week yaan siku 7 ikawa imeisha. Hadi kupaua siku ya 8 na 9 kuweka madirisha na lipu na frem za milango. Siku ya 10 na 11 froor tiles siku ya 12 na 14 gypsum wavu wa dirisha. Nikaacha siku3 ya 4 nikahamia
Siku zote hizo kwa rum moja ni nyingi sana
 
1month ujenzi umeisha na nyumba tayari inaonekana kama ya urithi
Sie wa kipato cha chini huwa tunaanza ki hvyo.wewe si unahela !!!ujue limeshika kiwanja hakiuzwi tena icho......
 
Mi yangu nlijenga 1 week yaan siku 7 ikawa imeisha. Hadi kupaua siku ya 8 na 9 kuweka madirisha na lipu na frem za milango. Siku ya 10 na 11 froor tiles siku ya 12 na 14 gypsum wavu wa dirisha. Nikaacha siku3 ya 4 nikahamia

Hongera kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…