Jitu la mtumba14
New Member
- Jun 11, 2022
- 2
- 0
Si kweli. Umetumia njia ipi kupata hesabu ya tofali. Raman iko sketched hata vipimo haviko standard umejuaje mkuu ,nahitaji kujua njia nyepesi ya kujua idadi ya tofali.Tofali 3200
Bei ganiMkuu achana na hyo michoro ya kubuni hutopata net cost za gharama za nyumba karibu tukutengenezee Raman kwa bei nafuu piga au WhatsApp 0757735884 Instagram highland_decor_solution Raman zetu zinakuja na hesabu za material hivyo utajua mapema gharama za ujenziView attachment 2664342
Ni bei nafuu mkuu kuanzia laki mbilBei gani
Ofisi ziko wapi?Ni bei nafuu mkuu kuanzia laki mbil
Ofisi ziko wapi?