Mkuu Kama Morogoro tuwasiliane kwa ushauri na n.k kuhusu mada yako.
0753961896
KUMBUKA
UVIMO
Umoja ulio sheheni wataalam mbalimbali wa kada ya ujenzi.
Tunatoa ushauri na kujenga, ukiwa umejiandaa vema tunakukabidhi nyumba ikiwa tayari imeisha.
UVIMO shuguli zetu ni:
1-Kujenga nyumba.
2-Kupiga lipu
3-Kuskim
4-Rangi
5-Bandaring na kufunga bodi
6-Milango ,madirisha na magril
7-Kupaua
8-Kuweka tiles
9-Wayaring za umeme.
10-Chemba za vyoo
11-Kupaua
12-Kuchimba mashimo ya maji na vyoo.
13-KUSHAURI KUHUSU NYUMBA.