Ujenzi wa nyumba kwa kutumia chupa za plastic

Ujenzi wa nyumba kwa kutumia chupa za plastic

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1113676

1113680

1115088

1113679

1113677

1113681

1113678

1113682

1115110
 
hamna ni imara sana najua
Mwizi akija anafungua vizibo au anaikata mchanga unamwagika anafanya yake ,au ukiwa na ugomvi na mtu ni kuwasha moto tu ukuta unayeyuka
 
Mwizi akija anafungua vizibo au anaikata mchanga unamwagika anafanya yake ,au ukiwa na ugomvi na mtu ni kuwasha moto tu ukuta unayeyuka
Mkuu wewe utakua unawaza ugomvi tu, au mwizi?, maana m sijawahi kuwaza ugomvi. Inategemeana na mazingira mkuu
 
Ndio huu sisi tunaita ubunifu..!! Au tunajifariji tu na kujustify ufukara wetu, ndo yale yale ya NIT ‘kubuni’ gari la kuchaji.... tuko na safari ndefu huenda hata hatujaianza.
 
Back
Top Bottom