HahahaHapo ukiwa na ugomvi na jirani Hanna haja ya kuvunja mlango
Anasukuma ukuta tu
Mwizi akija anafungua vizibo au anaikata mchanga unamwagika anafanya yake ,au ukiwa na ugomvi na mtu ni kuwasha moto tu ukuta unayeyukahamna ni imara sana najua
Mkuu wewe utakua unawaza ugomvi tu, au mwizi?, maana m sijawahi kuwaza ugomvi. Inategemeana na mazingira mkuuMwizi akija anafungua vizibo au anaikata mchanga unamwagika anafanya yake ,au ukiwa na ugomvi na mtu ni kuwasha moto tu ukuta unayeyuka
Sio rahisi kiasi hicho. Huo ukuta ni imara sana. Nimewahi fikia nyumba ya hivyo.Hapo ukiwa na ugomvi na jirani Hanna haja ya kuvunja mlango
Anasukuma ukuta tu
Kabisa mkuuSio rahisi kiasi hicho. Huo ukuta ni imara sana. Nimewahi fikia nyumba ya hivyo.