Nimeulizia hasa udongo wa Mbeya,uimara wake ukoje?Maana nilikuta watu hata fence unakuta ni tofali za tope na mvua inapiga Ila haziharibikiUimara unategemea Aina ya udongo ulotumka.
Ila kitaalam
Nyumba ya tope Ni imara kuliko nyumba ya saruji.
Tofali mbichi???Habarini wadau,
Nimetembelea mikoa ya KIGOMA, Rukwa, Katavi na kukuta wao wanapendelea tofali za kuchoma na zile za saruji! Mkoa wa Mbeya wao wanatumia hata tofali mbichi kujengea! Hivi tofali hizi ni imara kweli? Kuna utafiti wowote kuunga mkono uimara wa tofali mbichi za MBEYA?
Kuna tafiti ilifanywa na chuo cha Mbeya Univerity of Science and Technology kikishirikiana na chuo flani cha Marekani kuangalia ubora ama uimara wa tofali za kuchoma na tofali za tope ambazo hazijachomwa kwa matumizi ya kujengea hususani kwa mkoa wa Mbeya na matokea yanaonyesha nyumba zilizojengwa na tofali mbichi ni imara ukilinganisha na tofali zikizochomwaHabarini wadau,
Nimetembelea mikoa ya KIGOMA, Rukwa, Katavi na kukuta wao wanapendelea tofali za kuchoma na zile za saruji! Mkoa wa Mbeya wao wanatumia hata tofali mbichi kujengea! Hivi tofali hizi ni imara kweli? Kuna utafiti wowote kuunga mkono uimara wa tofali mbichi za MBEYA?
Mnachana na kuranda tofali pia mkuu?Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 12 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416
vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Mbichi kwa maana hazijachomwaTofali mbichi???
Kiswahili kigumu sana wallah...
Aisee!!Uimara unategemea Aina ya udongo ulotumka.
Ila kitaalam
Nyumba ya tope Ni imara kuliko nyumba ya saruji.
Uimara wa nyumba ya tofali mbichi haupo. Kwanza ikinyeshewa mvua uimara wake ni sawa na kuweka mkate kwenye chai.Uimara unategemea Aina ya udongo ulotumka.
Ila kitaalam
Nyumba ya tope Ni imara kuliko nyumba ya saruji.
Gorofa sio Kigezo Cha uimaraAisee!!
Kama nyumba ya tope ni imara kuliko ya saruji mbona hamna ghorofa la tope?
Kuna nyumba za makuti ziko vijijini uko Zina umri wa Miaka 200+.Uimara wa nyumba ya tofali mbichi haupo. Kwanza ikinyeshewa mvua uimara wake ni sawa na kuweka mkate kwenye chai.
New York, Paris, London na miji mingi ulaya,ukiangalia majengo ya zamani ni tofali za (udongo)kuchoma...na zipo powaIna maana wakoloni walipokuja hawakujua uimara wa tofali mbichi? Au huko ma NY na Paris hii elimu haipo, embu acheni mzaha
✅✅✅Kuna mambo hapa watu wanachanganya
Kuna
A.Tofali mbichi (yaani tofali za tope la udongo zisizochomwa)....