Habari wadau,
Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna gani anaweza kufanya renovation matengenezo kwenye hali hiyo je, afanyeje na kama kuvunja nyumba msingi ajenge vipi naomba ujuzi wadau.