Ujenzi wa nyumba na ukubwawa kiwanja utakaohitajika

Miss Namiraty

New Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Habari za sasa hivi,

Nauliza ukitaka kujenga nyumba kubwa ya vyumba kama 6 ila vitatu ni masters, na dining na public toilet, jiko pamoja na sitting room. Pia nje kuwe na sehemu ya magari.

Kwa nyumba ya ukubwa huo nitatumia hekari ngapi?
 
Huitaji eneo kubwa sana unahitaji eneo lenye ukubwa wa mita 20 kwa 40 ambapo kiwanja hicho ni sawa na medium ambapo ukubwa wa nyumba itachukua kama ukubwa wa mita 11 kwa kwa 12 na eneo hilo litabaki na eneo kubwa tu kwa ajili ya bustani nzuri na sehem kubwa tu kwa ajili ya parking,bembea za watoto sehem ya kuhifadhi tank la maji jiko la nje na stoo nk.
 
Mkuu vyumba sita na vitatu masters dining na makorokocho aliyo taja hapo katabaki kaeneo kadogo sana ambako kama ataweka uzio maana yake hata sehemu ya mabanda na bembea sidhan kama itapatikana
 
Du hapana mkuu labda tuvyumba tuwe tudogo kama choo
hapana mkuu mita 11 ni sawa na futi 35 na mita12 ni sawa futi 39 sasa huo ni mjengo wa maana kabisa au unataka kujenga hekalu kijiji kizima kihamie kwako.
 
Ni sawa mkuu lakin kumbuka na maelezo yake hapo maana kwa wastani nyumba yake nadhani inakuwa 14 square metre ambapo tuta kadiria kuwa kwa hivyo nyumba nya kulala 6 ambapo kati yake vyumba 3 ni masters tunakadiria kila chumba kitakuwa 400cm×400cm kwa kadirio lachini na hapo kwa kipimo hicho ukiweka choo na bafu ndani ndio itapungua zaid bado dining, bado sitting room bado public toilet bado vikorido vya kishkaji .
 
Du hapana mkuu labda tuvyumba tuwe tudogo kama choo
Hivi unajua ukubwa wa mita 1046 za mraba?!
Nahisi hesabu zimekupiga chenga jaribu kutafuta engineer yeyote umwelezee hiyo nyumba unayotaka kujenga na una uwanja wenye ukubwa huo usikie atakujibu nn.
 
Dah hii kubwa simchezo maana hii ni robo heka maana heka nzima ina 4047sqm
Yaan hiyo 1046 sqm unayo isema ana jenga had swimng pool ana packing ya gari 5 na space zinabak nyingi tu
 
mkuu siku hizi watu vyumba 3-4 mavyumba yote ya nini wanao sasa wako na umri 19-23 keshokutwa wanaanza maisha yao mivyumba ya nini hiyo
 
Back
Top Bottom