Ujenzi wa nyumba tofali za kuchoma

nakwede97

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
946
Reaction score
2,478
Wana JamiiForums,

Naomba ushauri wa hili jambo langu nimejiokoteza kwenye shughuli zangu nikajipatia sh 4million nikaona nianze ujenzi.

Kiwanja ninacho ambacho ni mita 15 Kwa mita 10 nataka kutumia tofali za kuchoma naomba wenye uzoefu wa hizi mambo anipe maelekezo ya hela yangu na kiwanja itafukisha wap hii nyumba au patakua na kasoro bila kusahau nipo Morogoro.

 
Kwa mimi hapa nilianza kwa raman inayotaka kufanana na hio tofali za block msingi tu umekula hela kama hio (4m).
 
Morogoro kubwa?
 
Kama eneo ni level kwa ramani ya hiyo nyumba milioni 2 inatosha kuanza nayo bila shida hapo utapiga zako msingi na iliyo baki 2 unanunua tofali za kuta ila mpaka lenta utaongeza 1m ziwe Tano afu 3 zilizobaki ni paa....
Tafuta 4mil nyingine iwe 8mil. ukuze paa
 
hapa saiz ya hii nyumba ukiw na 8M unaipandisha boma lote unasbir kupaua tu

Yangu ina 12 kwa 11 boma lote nimemaliza kw 13M hapo hamna anaenidai
 
Msingi 4M? kuna maal umepigw 3M inatosha msingi kabsaa nyumba ya 12 kwa 11 m²
Tofal zilienda nyingi sana kwa kua msingi ilibidi upande coz 8. Mkanda na nguzo kila pembe. Nilisimamia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…