nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
Hbr ndugu zangu poleni na majukumu.
Mimi ninaomba kwa wale wazoefu wa ujenzi , Nina mpango kujenga nyumba ndogo ya kuanzia maisha yaani nataka kuoa.
Nyumba yenyew ya vyumba vitatu kimoja master na sebule. Kwa mazingira niliyopo ni kijijini kiasi ila building materials kama mchanga, mawe na Maji vinapatikana vizuri. Kiwanja kipo tayari na nimewwka pesa kiasi flani ila nikijua rough estimates basi naweza kujichanga tena ili Mwezi wa kumi nianze ujenzi wa haraka.
Sasa gharama kiasi gani naweza kutumia.
Note : nataka nijenge nyumba ndogo ya kawaida, kikubwa sitaki kuoa nikiwa ktk kupanga hivyo hata mabati yatakuwa ya kawaida tu.
Naombeni msaada wadau.