Ujenzi wa nyumba vyumba viwili Master na kawaida choo na jiko muundo wa L

nakwede97

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
946
Reaction score
2,478
Habar wapendwa Niko mkoan nilikua naomba ushaur mwez wa Tisa nimepanga kuanza ujenzi wa hiyo nyumba nina 3M.

Nitatumia tofali za kuchoma mwanzo mwisho je nitafikia hatua gan Kwa kiasi hicho Cha hela mfano wa nyumba ni hiyo.

FB_IMG_1685340244021.jpg
 
Habar wapendwa Niko mkoan nilikua naomba ushaur mwez wa Tisa nimepanga kuanza ujenzi wa hiyo nyumba nina 3M.

Nitatumia tofali za kuchoma mwanzo mwisho je nitafikia hatua gan Kwa kiasi hicho Cha hela mfano wa nyumba ni hiyo.

View attachment 2648924
1.Hatua ya kwanza kapitishe ramani manispaa
2. Tafuta fundi mzuri wengi ni wababaishaji.
3. Vifaa na kila kitu cha ujenzi nunue wewe na sio fundi.
4. Ujenzi simamia wewe mwenyewe, ili usipigwe.
 
Afi ramani sijaelewa inamaana mtu akiingia sitting room akiangalia kulia anaona choo. Vipi kuhusu harufu ya choo kuja setting room maana sio mbali hapo.
 
1.Hatua ya kwanza kapitishe ramani manispaa
2. Tafuta fundi mzuri wengi ni wababaishaji.
3. Vifaa na kila kitu cha ujenzi nunue wewe na sio fundi.
4. Ujenzi simamia wewe mwenyewe, ili usipigwe.
Hiyo namba 4;
KUPIGWA kuko pale pale ata asimamie mkuu wa kituo, sema kupiga ni hulka ya mtu mwenyew tu.
 
Kwani choo ni lazima kiwe na harufu? [emoji848]

Choo ni choo Hata kama hakina harufu sababu yanayofanyika chooni huwa yanajulikana mengine huwa harufu [emoji108][emoji108]

Mimi huwa nawashangaa wale wanaoacha
Mlango wa choo wazi Eti sababu ni choo cha kukaa cha flashing [emoji848][emoji2357]
 
Back
Top Bottom