Ujenzi wa nyumba

Dnyamaka

Member
Joined
Oct 11, 2022
Posts
8
Reaction score
2
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba.
Inavyumba vitatu na Choo cha public
UKubwa ni 15*16

NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na fundi nimesha mlipa.
 
Attachments

  • IMG_20230819_144052.jpg
    2.6 MB · Views: 33
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba.

NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na fundi nimesha mlipa.
Bila kuweka ramani tukajua ukubwa wa nyumba, tutakachokuambia kwa sehemu kubwa kitakuwa ni try and error
 
Baada ya kuezeka, fanya mpango wa wiring na plumbing.
 
hakuna usalama mzuri mkuu, nisipo weka magril wataingia kuiba nyaya
Naona kuna banda hapo nyuma kama vile kuna mtu anaishi.
Weka tu nyaya na plumbing, magrill sioni umuhimu wake hapo ka ni kijijini.
Halafu hiyo nyumba sidhani kama ni 15m X 16m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…