Cc Nyan’gausJust a reminder, 200km Electrified SGR is 100% funded by the Government of Tanzania, meanwhile, Over 400km from Moro to Dodoma is Under Construction
Umeme 1350 MW na pia tunahitaji Picha za hiyo "30%" hata kama sote tunajua ni uwongo.
Zile juhudi za kujitoa kutoka lile kundi lenu la G9 zimefikia wapi?Umeme 1350 MW na pia tunahitaji Picha za hiyo "30%" hata kama sote tunajua ni uwongo.
I appreciate your efforts for propaganda and data cooking. Fanya hivi game over, pitia hapo kwa Hio "SGR" na simu yako mkononi upige Picha halafu uweke hapa...si hiyo reli imeanza Dar so unaweza kutuwekea kwa urahisi unless hamna kitu.You are one of many Kenyan doubting thomases,
Umekuwa ukiomba picha za SGR kwa kitambo sasa, at least now you appreciate Tz’s efforts, don’t you?
Hii ni Hatar sana.. Mwezi jana ilikua 22% sasa 30%?