Baadhi ya Watalaam wanaoshirika ujenzi wa Reli ya Kisasa, SGR kutoka Tanzania na Kampuni ya Ujenzi ya Yapi Merkezi wakishuhudia zoezi la uunganishwaji wa reli ya Kisasa katika ziara ya Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Makataibu tawala takribani 400,