Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mradi huu,haujafika Kahama,Tabora, Singida wala Dodoma.Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kuwa ujenzi wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza umefikia asilimia 69.2%, hatua inayoonesha kasi kubwa ya utekelezaji wa mradi huo muhimu wa usafiri nchini
View attachment 3660512
MAKUTUPORA - TABORA, TABORA - ISAKAMradi huu,haujafika Kahama,Tabora, Singida wala Dodoma.
Hizo 69.2% umezitoa wapi?
Utapeli hiyo 69 wamechukua kutoka DSM upishi wa data za kijingaMradi huu,haujafika Kahama,Tabora, Singida wala Dodoma.
Hizo 69.2% umezitoa wapi?
Tunajitekenya wenyewe na kujicheka wenyeweUtapeli hiyo 69 wamechukua kutoka DSM upishi wa data za kijinga
Sahihi kama wangekuwa na nia nzuri wangeleta milestone kuanzia makutopora hadi mwanza kipande ambacho wanasema kiko underconstructionTunajitekenya wenyewe na kujicheka wenyewe